Loading...
fr

Blog de Patrick

Wanaume 2 wamekamatwa baada ya binti mmoja mshindi wa mashindano ya urembo na dadake kupatikana wakiwa wameuawa karibu wiki moja baada ya kutoweka kwao.

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141119_mrembo_honduras

Novembre 19 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Bingwa mtetezi Nigeria imekumbwa na changamoto uwanjani na nje ya uwanja, hali ambayo huenda ikaathiri nafasi yake kutetea ubingwa

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/michezo/2014/11/141119_afrika_kombe_2015

Novembre 19 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Madaktari wa klabu hiyo wameelezea wasiwasi kuwa huenda akaambukizwa Ebola ikiwa ataenda kuichezea klabu yake nchini Guinea.

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/michezo/2014/11/141119_traore_ebola_ujerumani

Novembre 19 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Je ni sawa mwanamke kuambiwa anachofaa kuvaa? Hii na kauli ya baadhi ya watanzania kuhusiana na mjadala huu wa mavazi na wanawake kuvuliwa sketi fupi

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/medianuai/2014/11/141119_tanzania_mavazi

Novembre 19 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Waziri wa ulinzi wa Ivory Coast, Paul Koffi,ametoa amri wanajeshi warudi kwenye kambi zao baada ya kufanya maandamano.

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141119_ouattara_jeshi

Novembre 19 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
India imemuweka karantini mwanaume mmoja ambaye alipatiwa matibabu baada ya kuathirika na ugonjwa wa Ebola nchini Liberia

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141119_ebola_india

Novembre 19 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Ripoti ya UN imeeleza kwamba mfumo wa magereza Korea kaskazini ni wa kuangamiza, kuua, kuwageuza wafungwa kuwa watumwa, ulio na unyanyasaji, ubakaji na uavyaji wa lazima wa mimba.

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141119_korea_magereza

Novembre 19 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Marekani imewapongeza wananchi wa Burkina Faso na viongozi wao kwa kutia saini mkataba utakao ongoza serikali.

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141119_burkina_us

Novembre 19 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Michuano ya kirafiki ya kimataifa imeendelea kupigwa katika viwanja mbalimbali duniani.

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141119_soka_kirafiki

Novembre 19 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Kenya huenda ikatangazwa rasmi kuwa mwenyeji wa mashidano ya dunia ya riadha kwa vijana mwaka 2017.

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141119_anthletics_kenya

Novembre 19 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Baraza la umoja wa mataifa la haki za binadamu limesema Korea Kaskazini inastahili kufikishwa icc.

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141118_council_korea

Novembre 19 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Msemaji mkuu wa Rais wa Urusi Dmitry Peskov amezituhumu nchi za magharibi kwa kujaribu kuizunguka nchi hiyo.

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141118_urusi_ukraine

Novembre 19 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
FIFA imewasilisha lalama yake dhidi ya watu binafsi walioshirikishwa kuandaa michuano miwili ijayo ya kombe la dunia.

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/michezo/2014/11/141118_fifa_urusi_qatar

Novembre 18 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Shahidi mmoja muhimu wa mauaji ya kimbari ya Rwanda ambaye alitarajiwa kuhojiwa na majaji Ufaransa kuhusu kudunguliwa kwa ndege ya Juvenal Habyarimana ametoweka akiwa nchini Kenya

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141118_rwanda_mshukiwa_kenya

Novembre 18 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Polisi mjini Mombasa wamewakamata watu 15 kuhusiana na mauaji ya watu wanne usiku mjini humo kwa kuwadunga visu.

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141118_mombasa_mashambulizi_vijana

Novembre 18 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Pages : 1 2 3 4 5 ... » »»

African FM

RFI Afrique

Radio Okapi