Loading...
fr

Blog de Patrick

Maafisa 5 wakuu wa uhifadhi wa wanyamapori nchini Uganda wamesimamishwa baada ya zaidi ya tani moja ya pembe za Ndovu zilizokuwa zimenaswa kutoweka kutoka katika hifadhi ya serikali.

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141118_pembe_zatowekja_ugnda

Novembre 18 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Bwana harusi mmoja kutoka Saudi Arabia amempa talaka mkewe siku ya harusi baada ya kumuona uso wake kwa mara ya kwanza

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141118_talaka_saudia

Novembre 18 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Polisi mjini Nairobi wamekamata idadi kubwa ya watu katika msako baada ya mwanamke mwingine kuvuliwa nguo katika mtaa wa mabanda wa Kayole mjini Nairobi.

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141118_kenya_wanawake_mavazi

Novembre 18 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Polisi mjini Nairobi wamewakamata watu 100 katika msako baada ya mwanamke mwingine kuvuliwa nguo katika mtaa wa mabanda wa Kayole mjini Nairobi.

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141118_kenya_wanawake_mavazi

Novembre 18 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Zaidi ya robo ya visa vya unyanyasaji wa kijinsia vinavyoripotiwa havirekodiwi na Polisi nchini Uingereza, waangalizi wameeleza.

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141118_uhalifu_polisi

Novembre 18 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Takriban waisreli wanne wameuawa na wnegine 8 kujeruhiwa katika kile polisi wanasema ni shambulio la kigaidi dhidi ya Sinagogi eneo la magharibi ya Jerusalem.

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141118_israel_palestina_vita

Novembre 18 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Gavana wa jimbo la Missouri nchini Marekani ametangaza hali ya hatari kabla ya kutolewa uamuzi muhimu kuhusu kumfungulia mashitaka

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141118_missour_mayor

Novembre 18 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Fainali za langa langa ya Formula 1 msimu huu 2014 huko Abu Dhabi kutangazwa moja kwa moja na BBC,radio,televishen na mtandao

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141118_langa_langa

Novembre 18 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Charles Manson, mfungwa muuaji mwenye umri wa miaka 80, ameruhusiwa kuoana na mwanamke mwenye umri wa miaka 26.

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141118_marriage_manson

Novembre 18 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Mahakama huko Jamuhuri ya Demokrasi ya Congo imemhukumu kifo Kanal Birocho Nzanzu baada ya kubainika na makosa ya mauajia.

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141117_sentenced_congo

Novembre 18 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Makamu wa Rais nchini Zimbabwe, anasema anachukua hatua za kisheria dhidi ya shirika la habari la kitaifa kwa kumhusisha na njama ya kumuua Rais Robert Mugabe.

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141117_mujuru_mugabe

Novembre 17 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Daktari Martin Salia kutoka nchini Sierra Leone aliyekuwa anapokea matibabu ya Ebola nchini Marekani amefariki.

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141117_daktari_india

Novembre 17 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Polisi nchini Thailand wanasema kuwa wamarekani wawili wametoroka nchini humo baada ya jaribio lao la kutaka kutoweka na sehemu za mwili ikiwemo kichwa cha mtoto kutibuka.

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141117_masalia_dhl

Novembre 17 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Emir wa Kaskazini mwa Nigeria,Muhammad Sanusi, ametoa wito kwa wakazi kujihami dhidi ya kundi la wanamgambo wa kiisilamu wa Boko Haram

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141117_bokoharam_wananchi_silaha

Novembre 17 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Msanii Mrusi aliyecheza katika filamu mashuhuri ya 'Burnt by the Sun 2', alipoteza uume wake baada ya kujikata akitaka kuwa mwanamke.

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141117_ajikata_nyeti

Novembre 17 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Pages : « 1 2 3 4 5 ... » »»

African FM

RFI Afrique

Radio Okapi