Loading...
fr

Blog de Patrick

Mataifa ya magharibi yataka Rais Putin atimize makubaliano ya kusitisha mapigano Ukraine

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141115_g20_putin

Novembre 15 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Mchezaji Lionel Messi atawika zaidi katika ligi ya uingereza iwapo atapata fursa ya kucheza katika ligi hiyo.

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/michezo/2014/11/141115_xavi_messi_epl

Novembre 15 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Rais wa Algeria Abdelaziz Bouteflika amelazwa katika hospitali moja nchini Ufaransa.

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141115_bouteflika_alazwa

Novembre 15 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Jamhuri ya Demokrasi ya Congo yasema Ebola yamalizika nchini humo huku daktari wa Sierra Leone apelekwa Marekani kutibiwa

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141115_ebola_us_drc

Novembre 15 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Wabunge nchini Somalia wanapiga kura ya kutokuwa na imani dhidi ya waziri mkuu Abdiweli Sheikh Ahmed.

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141115_somali_vote_pm

Novembre 15 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Afrika kusini ,Cameroon,Ghana ,Gabon na Congo zinaingia katika raundi yengine ya mechi za kufuzu kwa dimba la Afrika

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/michezo/2014/11/141115_dimba_afrika_2015

Novembre 15 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Ripoti kutoka kaskazini mashariki mwa Nigeria zinasema kuwa wanamgambo wa Boko Haram wameudhibiti mji wa Chibok .

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141115_chobok_nigeria

Novembre 15 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Mataifa ya Sierra Leone na Ivory Coast yatawania kufuzu katika mechi za dimba la Afrika watakapokutana usiku wa ijumaa.

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/michezo/2014/11/141114_mechi_dimba_afrika

Novembre 14 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Wakenya pia wamepinga tukio hilo kupitia neno MyDressMyChoice katika mtandao wa twitter.

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141114_mydressmychoice_

Novembre 14 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Utafiti uliofanywa na Taasisi huru ya TWAWEZA kuelekea uchaguzi mkuu ujao nchini Tanzania umepokelewa kwa hisia tofauti

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141114_twaweza_tanzania

Novembre 14 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Guinea ya Ikweta yaitoa kimasomaso michuano ya AFCON mwaka 2015

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/michezo/2014/11/141114_afcon_soka

Novembre 14 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Rais wa Urusi Vladmir Putin amesema Marekani na Umoja wa Ulaya, EU hautaathiri Urusi tu pekee isipokua uchumi wa Dunia.

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141114_australia_brisbane

Novembre 14 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Watoto watatu kutoka kijiji cha Barca katika kaunti ndogo ya Aber Wilayani Oyam nchini Uganda wameanza kuzungumza lugha tofauti.

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141114_watoto_wabadili_lugha

Novembre 14 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Jimbo la Gujarati nchini India linataka iwe sheria kwa mtu yeyote anayetaka kuwania wadhfa wa uma kuwa na choo nyumbani mwake.

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141114_india_gujarati_vyoo

Novembre 14 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Viongozi mbalimbali duniani wameanza kuwasili mjini Brisbane kuhudhuria mkutano wa G20

Source: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2014/11/141114_brisbane_mkutano

Novembre 14 '14 · 0 commentaires · Mot-clé : africa, habari, kiswahili
Pages : «« « ... 2 3 4 5 6 ... » »»

African FM

RFI Afrique

Radio Okapi