Loading...
fr

Actualités

Actualités, News, Habari

Actus de catégorie "Swahili"
Publié: il y a 7 heures
Tunaelekea katika awamu wa mwisho ya mechi za makundi za Kombe la Dunia mwaka 2018, timu sita tayari zimefuzu lakini nafasi kumi bado zinang'ang'aniwa.
Publié: il y a 8 heures
Nyota wa klabu ya Liverpool na Misri Mo Salah ametishia kujiondoa katika timu ya taifa lake kufuatia habari kwamba amekuwa hana raha na kile kilichotokea nchini Chechnya
Publié: il y a 9 heures
Serikali ya Tanzania imeanza kutumia teknolojia kuwafuatilia faru katika mbuga ya taifa ya Serengeti ili kukabiliana na uwindaji haramu.
Publié: il y a 9 heures
Mfanyabiashara mashuhuri nchini Tanzania, Said Salim Bakhressa anatarajia kuzindua kampuni mpya ya mawasiliano itakajolukikana kwa jina la Azam Telecommunication (T) Limited.
Publié: il y a 11 heures
Zsa Zsa ni mbwa aliye na ulimi mrefu unaokaribia kufagia chini, lakini hii ni mojawapo ya sifa ambazo majaji wa shindano la mbwa mwenye sura mbaya zaidi duniani.
Publié: il y a 11 heures
Jeshi la Syria, likisaidiwa na jeshi la Urusi, limefaulu kuzima mashambulizi ya waasi katika eneo la kusini linalokabiliwa na machafuko, na kuua karibu wapiganaji 70, Wizara ya Ulinzi ya Urusi imetangaza Jumatatu wiki hii.
Publié: il y a 11 heures
James Kimani anadaiwa kukiri kuwauzia watu nyama hiyo ya paka tangu mwaka 2012.
Publié: il y a 12 heures
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir na hasimu wake Riek Machar wanatarajia kukutana tena Khartoum, nchini Sudani Jumatatu wiki hii kwa mkutano wao wa pili wa mazungumzo.
Publié: il y a 12 heures
Watu wasiopungua 86 wameuawa katika mashambulizi yanayodaiwa kutekelezwa na wafugaji wahamaji dhidi ya wakulima katikati mwa Nigeria, eneo linalokabiliwa na machafuko ya kikabila, polisi imesema.
Publié: il y a 12 heures
Paul Ogalo aka ‘Sweet Paul’ amekuwa akitumia muziki wa rap kama njia ya kuwavutia vijana wengi kufika kanisani.
Pages : 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 ... » »»

African FM

RFI Afrique

Radio Okapi